Headlines News :
Home » , , , , » BAADA YA KUPISHANA KAULI JAY DEE, BEN POL AONGEA KWA NINI AAMUA KUMUIMBA JIDE KATIKA MOJA YA NYIMBO ZAKE

BAADA YA KUPISHANA KAULI JAY DEE, BEN POL AONGEA KWA NINI AAMUA KUMUIMBA JIDE KATIKA MOJA YA NYIMBO ZAKE

Written By Unknown on Wednesday, April 24, 2013 | 4:15 AM

Kutoka katika kazi mpya ya Ben Pol 'Najikubali' teaser ambayo ameitoa hii leo, 'attention'  ya watu wengi imeibuka hasa baada ya msanii huyu kusikika amemtaja bi dada Lady Jay Dee ambaye kwa sasa asilimia kubwa ya watu wanawachukulia kuwa wao ni mahasimu na hawaelewani.



Ben Pol ameweka wazi kuwa, Kazi hii aliirekodi kabla ya 'tiff' lake yeye na bi dada na hivyo hata baada ya mapito ameona si issue kuedit, lakini pia msanii huyu  amefafanua status nzima ya mahusiano yake na Lady Jay Dee kwa sasa hasa ikizingatiwa kuwa wawili hawa walipishana maneno mtandaoni siku kadhaa zilizopita.... na hapa Ben Pol anaeleza.

Msikie Ben Pol akifafanua mahusiano yake na Jide hapa;
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Designed by: Bongo Blog Designers | Contact Us | +255 719 625003/ +255765 860437
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2013. kaleidoscopeENT - All Rights Reserved
Template Designed by Bongo Blog Designers Published by KaleidoscopeNet