Headlines News :
Home » , , » HII NDIO ILIKUWA SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU BI KIDUDE

HII NDIO ILIKUWA SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU BI KIDUDE

Written By Unknown on Wednesday, April 24, 2013 | 4:10 AM




Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi

Jeneza la bibi likielekea msikiti kwa ajili ya kusaliwa

Mtangazaji Hassan Bond, Fid Q, Diamond Platnumz na Ruge Mutahaba wakiwa msibani nyumbani kwamarehemu bi Kidude,  Zanzibar


Msanii Fid Q, Baraka cousin ya Marehemu Bi Kidude na Hassan Bond Mussa (FID Q ndo alikuwa msanii wa kwanza mkubwa kufika msibani kwa bibi)

Ruge mutahaba, Babu Tale and Guru. .......msibani kwa Bi Kidude

Guru G na Mh Bhaa mazikoni

Hassan na Fid Q wakiwa katika picha ya pamoja na familia ya Marehemu Bi Kidude

Sehemu ya umati wa Watu waliofika msibani
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Designed by: Bongo Blog Designers | Contact Us | +255 719 625003/ +255765 860437
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2013. kaleidoscopeENT - All Rights Reserved
Template Designed by Bongo Blog Designers Published by KaleidoscopeNet