Tujihadhari siku hizi kuna saa zina camera na zina record sauti kwa hiyo
tuwe makini saa yenyewe inaonekana ivyo hapo kwa chini ya namba 6 ndio
kuna camera yenyewe na kidude cha pembeni microphone na ina recod video
pia tuwe makini.hiyo saa ninayo na inauzwa bei rahisi kwa hiyo tuwe
makini sana.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !