Headlines News :
Home » , , , , , , , » SAKATA LA LADY JAY DEE TENA NA MABOSS WA CLOUDS.....SOMA ALICHOANDIKA TWITTER

SAKATA LA LADY JAY DEE TENA NA MABOSS WA CLOUDS.....SOMA ALICHOANDIKA TWITTER

Written By Unknown on Tuesday, April 23, 2013 | 11:56 AM

Baada ya mafumbo mengi na vijembe huko twitter na bbm hatimaye mwandana komandoo na super star Lady Jay Dee ameamua kufungua na kutaja majina ya hao watu wenye beef nae kupitia ukurasa wake wa twitter. Jide amefungua na kupodt yafuatyao. 
Dah naskia jana kwenya interview yake na TBC alimchana Ruge live, tunajaribu kuifuatilai interview hiyo na tutawaletea hapa live kila kitu alicho kiongela super star huyo. Stay tuned!
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Designed by: Bongo Blog Designers | Contact Us | +255 719 625003/ +255765 860437
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2013. kaleidoscopeENT - All Rights Reserved
Template Designed by Bongo Blog Designers Published by KaleidoscopeNet